Mshani Wellness
Mshani Wellness
  • 139
  • 1 757 288
Homoni Imbalance: Dalili za Hormone imbalance na Madhara yake kiafya
Mvurugiko wa homoni (Hormone imbalance) kwa ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa baadhi ya vichochezi (homoni) katika mwili wa binadamu. Hali hii inaweza kutokea kwa mwanamke na mwanaume na inaweza kuja na dalili kadhaa ikiwemo;
- kukosa ute ukeni
- Matatizo ya ngozi
- Maumivu ya misuli
- Upungufu wa nguvu za kiume
- Maumivu wakati wa tendo la ndoa
- Kutoa jasho usiku
- Maumivu chini ya kitovu wakati wa hedhi
- Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa
- Mabadiliko ya siku za hedhi
Vyanzo vya mvurugiko wa homoni ni pamoja na:
-Uwepo wa sumu mwilini
-Unbalanced Lifestyle (mfumo mbovu wa maisha)
-Umri ukienda sana
-Kukoma kwa hedhi
-Kutofanya mazoezi, na kutokulala masaa anayostahili kwa siku
-Uzito mkubwa
-Mabadiliko ya mazingira au hali ya hewa
-Msongo wa mawazo
-Kula vyakula visivyo endana na Blood Group
-Upungufu wa lishe mwilini
-Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango
-Utoaji wa mimba
Katika video hii utajifunza na kufahamu Dalili za Hormone imbalance na Madhara yake kiafya.
Follow us on:
Facebook: MshaniWellness
Instagram: mshani_wellness
Twitter(X): MshaniWellness
TikTok: www.tiktok.com/@mshani_wellness?lang=en
Contact: 0743039890
Переглядів: 620

Відео

Dalili za mwanzo za UKIMWI, wiki 2: Zimeelezewa kwa kina!
Переглядів 1,8 тис.21 день тому
UKIMWI ni Ugonjwa unasababisha Upungufu wa kinga mwilini, Ugonjwa huu unasababisha na virusi wa HIV ambao husambaa zaidi kupitia majimaji ya mwili. Njia kuu ambayo virusi hawa husambaa kwa urahisi na kwa kiasi kikubwa ni kupitia ngono zembe na mtu aliyeathirika na virusi hawa. Video hii imeelezea na kujibu maswali muhimu kuhusu Dalili za mwanzo za UKIMWI, kianzia wiki ya 2 hadi ya 4. Follow us ...
Jinsi ya kupunguza uzito kwa haraka kwa mama anayenyonyesha
Переглядів 213Місяць тому
Zipo njia nyingi ambazo unaweza kuzitumia kupunguza uzito, lakini ni njia chache ambazo ni salama na zinaweza kukupa mataokeo ya haraka. Katika video hii utajifunza na kufahamu njia za kupunguza uzito kwa haraka kwa mama anayenyonyesha bila madhara. Njia hizi pia zitakusaidia kupunguza mafuta, kupunguza tumbo na kupunguza kitambi kwa haraka zaidi bila madhara.
Tatizo la Kukosa usingizi madhara na tiba: Fahamu njia asili ya kutibu tatizo la kukosa usingizi
Переглядів 536Місяць тому
Moja ya matatizo yanayowasumbua wengi ni kukosa usingizi (insomnia). Kuna mambo mengi yanaweza sababisha hali hii baadhi ni msongo wa mawazo, kutumia vifaa vyenye mwanga wakati wa kulala, kuchelewa kulala, magonjwa na mengine mengi. Katika video hii utafahamu dawa ya kutibu tatizo la kukosa usingizi, sababu na dalili zake.
Faida za pilipili mwilini: Fahamu faida za kutumia pilipili kila siku kiafya
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
Pilipili ni moja ya vyakula muhimu mwilini kutokana na faida nyingi za chakula hiki. Zipo aina tofauti za pilipili kama vile pilipili hoho, pilipili manga, pilipili mbuzi, pilipili ndefu, pilipili kichaa na nyinginezo. Baadhi ya faida za pilipili mwilini ni pamoja na: Kuboresha Mmeng'enyo wa Chakula: Pilipili ina uwezo wa kuchochea usiri wa mate na asidi ya tumbo, ambayo husaidia katika mmeng'e...
Faida za Uwatu mwilini: Tumia uwatu kwa wingi upate faida hizi za kiafya
Переглядів 1 тис.Місяць тому
Uwatu ni moja ya nafaka yenye faida nyingi kiafya hasa kwa wanawake. Baadhi ya faida za uwatu mwilini ni pamoja na: Kuboresha Mmeng'enyo wa Chakula: Uwatu una kiwango kizuri cha fiber, ambayo husaidia katika mmeng'enyo wa chakula na kuzuia matatizo kama vile kuvimbiwa na gesi tumboni. Kudhibiti Kiwango cha Sukari Mwilini: Mbegu za uwatu zina kemikali zinazosaidia kuboresha usikivu wa insulini n...
Vyakula vya kutibu tatizo la kukosa choo au kupata choo ngumu
Переглядів 201Місяць тому
Tatizo la kukosa choo au kupata choo ngumu ni moja ya matatizo yanayoathiri watu wengi na husababishwa zaidi na hitilafu katika mfumo wa chakula. Katika video hii utafahamu na kujifunza Vyakula vya kutibu tatizo la kukosa choo au kupata choo ngum
Vyakula Kupunguza mafuta mwilini na uzito kwa haraka
Переглядів 1 тис.Місяць тому
Ongezeko la mafuta mwilini kwa sehemu kubwa linasababishwa na hitilafu za kimetaboliki mwilini. Moja ya njia za kupunguza mafuta mwilini ni kutumia vyakula vinavyoongeza metabolism ya mwili. Katika video hii utajifunza na kufahamu Vyakula vya kusaidia Kupunguza mafuta ya mwili na uzito kwa haraka
Faida za Bilinganya Mwilini (Eggplant): Tumia Bilinganya kila siku upate faida hizi kiafya
Переглядів 348Місяць тому
Bilinganya ni aina ya mboga ambayo ina faida nyingi kiafya. Baadhi ya faida za bilinganya ni pamoja kuondoa sumu, kusaidia afya ya macho, kusaidia matatizo ya uzazi, kuimarisha afya ya ngozi na faida nyingine nyingi. Katika video hii utajifunza na kufahamu faida za bilinganya mwilini na jinsi ya kutumia
Faida za mafuta ya mnyonyo (Castor oil): Tumia castor oil upate faida hizi za kiafya mwilini
Переглядів 842Місяць тому
Mafuta ya mnyonyo (castor oil) ni moja ya mafuta bora yanayoweza kutumiwa ndani na nje ya mwili. Baadhi ya faida za mafuta ya mnyonyo ni pamoja na kusaidia kupata choo, kutibu tatizo la kukosa choo, kuimarisha afya ya ngozi, kuimarisha afya ya nywele, kuondoa uvimbe mwilini, kutibu matatizo ya mzunguko wa hedhi na faida nyinginezo. Katika video hii utajifunza na kufahamu faida za mafuta ya mnyo...
Faida za komamanga mwilini (Pomegranate): Tumia juisi ya tunda damu la kokomanga upate faida hizi
Переглядів 260Місяць тому
Komamanga ni miongoni mwa matunda bora na yenye faida nyingi kiafya. Baadhi ya faida za kokomanga mwilini ni pamoja na kuimarisha mzunguko wa damu, kusaidia tatizo la shinikizo la damu, upungufu wa nguvu za kiume, kuondoa sumu za mwili, kuimarisha afya ya ngozi, kuimarisha kinga ya mwili na faida nyingine nyinge. Katika video hii utajifunza na kufahamu faida za Komamanga na jinsi ya kuandaa tun...
Vyakula vya Nyuzinyuzi: Top 10 vyakula vya nyuzinyuzi na vyanzo vyake
Переглядів 358Місяць тому
Vyakula vya Nyuzinyuzi ni miongoni mwa vyakula muhimu kwa afya yako, Baadhi ya faida za vyakula hivi ni pamoja na: Kuboresha Mmeng'enyo wa Chakula: Fibre husaidia katika kusafisha mfumo wa mmeng'enyo wa chakula na kuzuia kuvimbiwa. Kudhibiti Kiwango cha Sukari Mwilini: Fibre husaidia kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu kwa kupunguza kasi ya kunyonya sukari mwilini. Kupunguza Uzito: Vyakula...
Top 6 Vyakula vyenye mafuta mengi na hatari kwa afya ya mwili
Переглядів 549Місяць тому
Madhara ya Vyakula vyenye mafuta mengi mwilini Atherosclerosis: Cholesterol ya juu inaweza kusababisha kujaa kwa mafuta kwenye kuta za mishipa ya damu, hali inayojulikana kama atherosclerosis. Hii inaweza kupunguza mtiririko wa damu na kusababisha mishipa ya damu kuwa migumu na nyembamba. Shinikizo la Juu la Damu: Atherosclerosis inaweza kusababisha shinikizo la damu kuwa juu kwa sababu moyo un...
Top 4 serum bora za ngozi na faida zake pamoja na jinsi ya kutengeneza
Переглядів 73Місяць тому
Ngozi bora na yenye afya inahitaji matunzo ya ndani na nje. Moja ya vitu unavyoweza kuipatia ngozi yako ni serum. Zipo serum za aina tofauti lakin katika video hii tutajadili top 4 serum bora za ngozi na faida zake. Baadhi ya serum tutakazojadili ni pamoja na serum ya vitamin C, Serum ya retinol, serum ya niacinamide na serum ya Tangawizi. Tutaelezea faida ya kila serum na jinsi ya kutengeneza ...
Faida za apple Cider Vinegar mwilini: Tumia applejuisi kila siku kwa siku 14 upate faida hizi
Переглядів 264Місяць тому
Apple cider vinegar ni mojawapo ya vinegars ambayo inaweza kuwa na faida nyingi kwa afya yako. Vinegar hii inatengenezwa pale ambapo juisi ya apple inachachwa. Faida za apple cider vinegar mwilini ni pamoja na: Kusaidia kupunguza uzito: Apple cider vinegar inaweza kusaidia kupunguza uzito kwa kuongeza kuchemka kwa mwili na kuongeza kiwango cha kuchoma mafuta. Pia inaweza kusaidia kuongeza kuain...
Vyakula vya mafuta mwilini: Yafahamu mafuta hatari na salama zaidi kwa kutumiwa na binadamu
Переглядів 370Місяць тому
Vyakula vya mafuta mwilini: Yafahamu mafuta hatari na salama zaidi kwa kutumiwa na binadamu
Faida za Tikiti maji mwilini: Tumia kipande cha tikiti kila siku upate faida hizi
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
Faida za Tikiti maji mwilini: Tumia kipande cha tikiti kila siku upate faida hizi
Faida za Madafu na Nazi mwilini: Fahamu faida za madafu na nazi iliyokomaa katika mwili wako.
Переглядів 141Місяць тому
Faida za Madafu na Nazi mwilini: Fahamu faida za madafu na nazi iliyokomaa katika mwili wako.
Vyakula vya kukulinda na saratani au Cancer: Tumia kwa wingi uwezavyo
Переглядів 2762 місяці тому
Vyakula vya kukulinda na saratani au Cancer: Tumia kwa wingi uwezavyo
Top 4 Vyakula vya kupunguza na kuondoa uvimbe mwilini hasa kwa wanawake
Переглядів 4462 місяці тому
Top 4 Vyakula vya kupunguza na kuondoa uvimbe mwilini hasa kwa wanawake
Faida za chai kiafya: Tumia chai kila siku upate faida hizi kubwa
Переглядів 1762 місяці тому
Faida za chai kiafya: Tumia chai kila siku upate faida hizi kubwa
Faida za Nanasi mwilini: Fahamu faida mbalimbali za kiafya za tunda la nanasi mwilini
Переглядів 1442 місяці тому
Faida za Nanasi mwilini: Fahamu faida mbalimbali za kiafya za tunda la nanasi mwilini
Faida za kahawa kiafya: Fahamu faida mbalimbali za kiafya mwilini za kutumia kahawa
Переглядів 6512 місяці тому
Faida za kahawa kiafya: Fahamu faida mbalimbali za kiafya mwilini za kutumia kahawa
Faida za Papai mwilini : Fahamu faida unazopata unapotumia papai
Переглядів 1442 місяці тому
Faida za Papai mwilini : Fahamu faida unazopata unapotumia papai
Faida za Bangi (Mafuta) kiafya : Fahamu faida mbalimbali za kiafya za mmea wa bangi
Переглядів 1862 місяці тому
Faida za Bangi (Mafuta) kiafya : Fahamu faida mbalimbali za kiafya za mmea wa bangi
Faida za Ubuyu: Tumia mbegu 5 za ubuyu kila siku kwa siku 7 mfululizo
Переглядів 4452 місяці тому
Faida za Ubuyu: Tumia mbegu 5 za ubuyu kila siku kwa siku 7 mfululizo
Je, ni wakati gani sahihi wa kuanza kumpa mtoto anayenyonya vyakula vigumu?
Переглядів 602 місяці тому
Je, ni wakati gani sahihi wa kuanza kumpa mtoto anayenyonya vyakula vigumu?
Mtoto kukataa chakula:Tumia njia hizi kumsaidia mwanao kupenda kula chakula
Переглядів 1272 місяці тому
Mtoto kukataa chakula:Tumia njia hizi kumsaidia mwanao kupenda kula chakula
Vyakula vya kupunguza mafuta mwilini: Tumia vyakula hivi kama unapunguza tumbo na kitambi
Переглядів 5832 місяці тому
Vyakula vya kupunguza mafuta mwilini: Tumia vyakula hivi kama unapunguza tumbo na kitambi
Dawa ya macho: Tumia vyakula hivi 5 kutibu tatizo la macho kwa haraka.
Переглядів 2112 місяці тому
Dawa ya macho: Tumia vyakula hivi 5 kutibu tatizo la macho kwa haraka.

КОМЕНТАРІ

  • @eliethmwanguya7118
    @eliethmwanguya7118 7 годин тому

    Hapo kwenye meno upo sahihi, ndiyo dawa yangu, nikihisi meno kuuma natumia karafuu yanakaa sawa

  • @prince001tv5
    @prince001tv5 День тому

    Elimu nzuri .. mie nasoma

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 3 дні тому

    Shukrani

  • @JeanBaraka-pu5xo
    @JeanBaraka-pu5xo 4 дні тому

    nikumeza punje moja

  • @LYDIABYEMELWA
    @LYDIABYEMELWA 4 дні тому

    Samahan naomba kuuliza kwa nn nikila parachichi nahs kichefuchefu

  • @user-hm9fm6gl1s
    @user-hm9fm6gl1s 5 днів тому

    Kwema dkt magonjwa yote hayo mimi ninayo,sasa dawa yake ni nini na ni shilingi ngapi?

  • @HajrahRamadan
    @HajrahRamadan 5 днів тому

    Ahsante uparikiwe sana

  • @VashtChisongela-b2g
    @VashtChisongela-b2g 6 днів тому

    Unaitafuna au unameza

  • @EmmanuelNyangobo
    @EmmanuelNyangobo 6 днів тому

    Oooooo et ukimwi sio nn?

  • @AbuubakarBakar-s4v
    @AbuubakarBakar-s4v 7 днів тому

    Nzri kaka

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 7 днів тому

    Asant sana, Namshukuru Mungu.

  • @AbdallahBakar-oc3ue
    @AbdallahBakar-oc3ue 7 днів тому

    Sasa mbona unaongea vitu halafu huna uhakika

  • @YassinIssa-e2y
    @YassinIssa-e2y 7 днів тому

    Nimepata herimu tosha

  • @user-ep9cx8lm4w
    @user-ep9cx8lm4w 7 днів тому

    ARV hutumika muda gani pale unapokuwa umepata vvu unatumia baada ya muda gani unapoambukizwa

  • @NyamiziAbdallakh
    @NyamiziAbdallakh 9 днів тому

    Mwnyez mung akuzidishie

  • @AlexManyasa
    @AlexManyasa 9 днів тому

    Naomba namba Yako. Mm kucha za vidole zimebadilika zimekwa zanjano

  • @AbdulkarimMohamed-l3n
    @AbdulkarimMohamed-l3n 10 днів тому

    Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣 dah km kutafuta umaarufu nihvi hata Mimi natafuta

  • @JemaAnjero
    @JemaAnjero 10 днів тому

    Mimi nina shida Macho yanavimba miguu na eneo la kifua mpaka kwenye koo ni pazito pia nahema haraka

  • @happyzephania9413
    @happyzephania9413 10 днів тому

    Mm nilitokea vipele vyekund mapajan na matiti je n dalili ya ukimw?

  • @SubiraMuhambo-p6q
    @SubiraMuhambo-p6q 10 днів тому

    nisaidie kupata mawasiliano yko, kwa mana manangu anachangamoto ya aleji nahitaji msaada plz ili tumsaidie

  • @happyzephania9413
    @happyzephania9413 11 днів тому

    Doctor mm nilihic nimetembea na mtu mweny virus ila nilienda kupima baada ya miez 5 ckukutwa nao je vipimo havikua sahihi au vip naomba kujua doctor

  • @RaphaelKomba-n5k
    @RaphaelKomba-n5k 11 днів тому

    Je Kwa mtu ambae anatumia ARV alafu akakutana na mtu ambae Hana HIV je ni rizki kiasigani kwake? Yani anaweza akasalimika Kwa asilimia ngapi?

  • @AminaIbrahim-mn9wg
    @AminaIbrahim-mn9wg 11 днів тому

    Shukran

  • @dainesskisinda2926
    @dainesskisinda2926 12 днів тому

    Dr mm nimefikia siku za period lkn Cha ajabu naona ute wa brown badala ya damu nini shida

  • @TafutasiaMongi
    @TafutasiaMongi 15 днів тому

    Hutibu nini

  • @HabibaAmiry
    @HabibaAmiry 15 днів тому

    Mimi hizo dalili zote nazipata wakati wa ujauzito , lkn nikijifungua tu, na hali inatoweka, je nni shida, naomba namba zako plZ

  • @SesiliaLaga
    @SesiliaLaga 16 днів тому

    Naomba kuuliza mwenye vidonda vyatumbo anaruhusiwa kwaajiliyaiyo asidi?

  • @user-io1tp6nz8m
    @user-io1tp6nz8m 16 днів тому

    ❤❤❤❤❤❤❤

  • @AbuAdnazmin
    @AbuAdnazmin 16 днів тому

    Natumai umzima wa afya daktari. Mi ni mkenya and i have this hormonal imbalance which you are talking about. Ningependa kujuwa vyakula gani vya kula ili hormones zirudi sawa na dawa gani za kutumia manake koo imebadili sauti (thyroid) mifupa huuma kukosa usingizi na nimekonda kuna wakati ngozi ilipata shida sana. Toa video ya kueleza how to balance our hormones after being imbalance. Asante ni hayo tu

  • @JofreySanga-lu8pn
    @JofreySanga-lu8pn 17 днів тому

    Anae tukana kwasababu yakutoa elimu .huyu nimutu wa ajabu sana kama hutaki kupata elimu hii SI acha usikiliza. Kuliko kutukana .upumbavu wako ufanye dokita Astor elimu kwa watu? Acha hizo wewe

  • @WizzyDéê-k9s
    @WizzyDéê-k9s 18 днів тому

    Lakin damu Ipo saw haijapungua lakn moy unadunda kw nguvu Shida itakuw ni hiyo au

  • @WizzyDéê-k9s
    @WizzyDéê-k9s 18 днів тому

    Lakin damu Ipo saw haijapungua lakn moy unadunda kw nguvu Shida itakuw ni hiyo au

  • @WizzyDéê-k9s
    @WizzyDéê-k9s 18 днів тому

    Lakin damu Ipo saw haijapungua lakn moy unadunda kw nguvu Shida itakuw ni hiyo au

  • @WizzyDéê-k9s
    @WizzyDéê-k9s 18 днів тому

    Ninaswali dokta ukosef wa Vitamin B unasababisha moyo kutokufany Kaz vizur moyo kwend mbio

  • @DanielKivatsi
    @DanielKivatsi 19 днів тому

    Fungus ni nini?

  • @khamismasms6095
    @khamismasms6095 20 днів тому

    Elimu nzuri hongera asante sana

  • @khamismasms6095
    @khamismasms6095 20 днів тому

    Dalili y 10 kaimba feruzi hio

  • @japhetAdolph-ob1ip
    @japhetAdolph-ob1ip 20 днів тому

    Kwahy azizi ki anao sindio😅😅😅

  • @DianaMacha-jf8gw
    @DianaMacha-jf8gw 21 день тому

    Jee nikitaka kupunguza mwili jee

  • @DianaMacha-jf8gw
    @DianaMacha-jf8gw 21 день тому

    Jee nikitaka kupunguza sum mwilin je

  • @SaidSalum-j6h
    @SaidSalum-j6h 21 день тому

    Je maumbile ya mwanaume yanaweza kuwa chanzo cha maumivu wakati wa tendo la ndoa ???

  • @user-cr4wv7ic9c
    @user-cr4wv7ic9c 21 день тому

    Ah mm dalili km nane hv nimezbain kwahy nikimbilie hospital

  • @bilalbizimana980
    @bilalbizimana980 21 день тому

    Mwalim naomba kuliza je ukitafuna ukameza na maji ina tija ama lazima ueke kwa chai tuu ama ulivyo sema?

  • @user-mf5xp1nf4j
    @user-mf5xp1nf4j 22 дні тому

    Hizo dalili niliwayi kuzipitia takriban zote lakin kila nikipita kwenye vipimo huwa vinasoma negative mpaka sasa nina miezi 10

    • @BerylSeer1
      @BerylSeer1 21 день тому

      Waaa pengine ni maradhi mengine tu usijali Mungu Akutetee.

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 22 дні тому

    Dalili za mwanzo je?

  • @MargrethBelias
    @MargrethBelias 23 дні тому

    Inawezekana kudate na mwathirika wa ukimwi kwa muda alafu ukipima usikutea na hiv?

  • @RashidiPendelelo
    @RashidiPendelelo 23 дні тому

    Tunaomba ushauri ambao inaweza ikawa msaada

  • @ChrisBetty-vo3yy
    @ChrisBetty-vo3yy 24 дні тому

    😂😂hasira kila mahali bana doc

  • @KajoyShanel
    @KajoyShanel 25 днів тому

    Mdomo unaeza kua ivo na mtu akue to sawa

  • @salimramadhani740
    @salimramadhani740 25 днів тому

    Ooh OK Asante ❤